Gemu la magali ambalo ni zuri na dogo (Android)

 




Street Racing ni game ambalo mpaka sasa limechezwa na zaidi ya watu milioni mia moja. Lina kila sifa ya kuwekwa katika orodha ya magame bora ya magari (Android) au orodha ya magame ya magari yanayopendwa na watu.

Game hili linamuonekano mzuri sana ambao unaweza kukufanya uhisi uhalisia unapolicheza. Mbali na muonekano, kuna magari mazuri sana na yenye kasi mno yatakayo kuwezesha kukamalisha malengo yako ya kuwa wa kwanza katika mashindano.



Unaweza kulipata playstore kwa MB 82. Pia unaweza rahisisha upatikanaji wake kwa kugusa INSTALL

Previous Post Next Post