Gemu za baiskeli za Android

 



Kama ni mpenzi wa game za baisikeli (BMX) basi hizi Ni baadhi ya game nzuri ambanzo unaweza cheza katika simu yako ya Android.

1. BMX Freestyle Extreme 3D




Ni game la Android ambolo linahusu uchezeaji wa baisikeli katika mitindo mbali mbali. Watu wengi hulipenda game hili na mpaka sasa limechezwa na zaidi ya watu milioni kumi. Game hii linasifika kwa kuwa na muonekano mzuri na uwepesi katika kulicheza.




Pia game hii hupatika play store hivyo ukiliitaji unaweza kulitafuta kwa kuandika jina lake au unaweza rahisi kwa kugusa INSTALL





2. Real Bike Cycle Racing 3D



Kama ni mpenzi wa racing Basi hili linaweza kuwa ni game litakalo kufurahisha zaidi. Game hili ni racing Kama za kawaida Ila utofauti ni kutumia baisikeli tu. Lina muonekano mzuri pia ni moja ya magame yanayo pendwa na watu.



Upatikanaji wa game hili ni rahisi kwa kuwa nalo hupatikana katika playstore. Unaweza lipata Kirahisi kwa kugusa neno INSTALL





1. BMX Hill Bike Rider




BMX Hill bike rider ni game lenye utofauti mkubwa katika kulicheza. Ni game lenye ubora katika muonekano. Hupendwa na watu na wengi hulipenda kutokana na game hilo kuwa zuri. Linakupa uwezo wa kuendesha baisikeli kwa kuiyumbisha simu yako.






Game hiri halina ugumu wowote katika kulitafuta au kuliinstall maana hupatikana playstore. Unaweza lipata kirahisi zaidi kwa kugusa INSTALL






Previous Post Next Post