Kutuma sms au ujumbe wenye maneno mazuri kwa mpenzi wako, ni kitu muhimu sana katika mapenzi. Unapotuma ujumbe moja kwa moja unakua umeonesha kumjali na pia kumkumbusha kuwa yeye ni wamuhimu kwako. Leo nakupa sms ambazo unaweza zituma kwa mpenzi wako na akajisikia vizuri. Chagua ujumbe unaoendana na hali ya mahusiano yako.
SmS za mapenzi
# 1: Wewe ndiye mwanamke mrembo zaidi ulimwenguni, na nina bahati kubwa kuwa na wewe maishani mwangu. Nakutakia siku njema, mpenzi wangu.
# 2: Asante sana kwa kunifanya nione siku zote ni nzuri maishani mwangu. Natumaini utaendelea kunifanya niwe hivyo kila siku kwa kuwa na mimi, Nakupenda sana Mpenzi wangu.
# 3: Kila nikikaa na kufikia juu yako huwa nahisi furaha kwasababu wewe ni kiini pekee cha furaha moyoni mwangu. Sitaraji kukutoa moyoni maana nahitaji ukae na mimi milele,Nakupenda
# 4: Kuna watu wachache sana ambao ninahisi raha kuwa karibu nao. Wewe ni mmoja wao. Umenifanyia mengi. Asante kwa kila kitu, Nakupenda.
# 5: Ninakosa kulala nawe usiku na kuamka kando yako kwasababu nikombali na we. Natamani kufika hapo nyumbani na kuingia mikononi mwako. Lakini ipo siku nitarudi na tutakua pamoja tena, Nakupenda sana
# 6: Wewe ndiye mwanaume wa ndoto zangu. Natumai ndoto zako ni nzuri kama yangu. Nakupenda sana. Ulale vizuri mpenzi wangu.