Mchezo wa Skateboard ni moja kati ya michezo mizuri na yakuvutia ambayo hupendwa na watu wengi Sana duniani. Kama ilivyo michezo mingine, michezo huu unagame zake ambazo watu hucheza.
Katika playstore kuna game nyingi za Android ambazo zinahusiana na Sketeboard lakini zifuatazo ni baadhi ya game nzuri za Skateboard ambazo unaweza install na kucheza katika simu yako ya Android.
1. Mike V Skateboard Party
Game hili niko vizuri sana katika ubora wa muonekano japo kuna mengine yamelizidi lakini tatizo huwa yanauzwa. Limechezwa na watu zaidi ya milioni 20 duniani. Watu wengi hulipenda kutokana na kukupa uhuru wa kujongea. Unaweza kuruka mitindo mbali mbali ya kupendeza.
2. Skating FE3D 2
Ni moja ya magame ambayo huchezwa kwa kiwango kikubwa. Lina muonekano mzuri sana pia limetulia. Mamilioni ya wacheza magame wamelicheza game hili na wamelipenda. Linakupa uwezo wa kuruka na kuteleza kwa mitindo mbali mbali.
Kitu kizuri ni kwamba game hili linapatikana playstore bila ghalama. Unaweza kulitafuta playstore ili kuliinstall au gusa INSTALL
3. Street Skateboard
Street Skateboard ni game la tofauti kidogo na mengine. Game hii huchezwa kuelekea muelekeo mmoja yaani haliko huru kwenye mijongeo kama mengine. Linakupa uwezo wa kuruka kwa mitindo mbali mbali ambayo inavutia.
Linapatika playstore na unaweza lipata kirahisi kwa kutafuta jina lake katika playstore au kugusa INSTALL
4. True Skateboarding
Hili pia ni game lenye utofauti kidogo. Kwenye game hili inatakiwa kuwakimbia polisi wanaokukimbiza kwa gari. Game hii ni moja ya magame pendwa duniani.
Game hili linapatikana playstore bila ghalama yoyote. Unaweza kuliinstall kirahisi kwa kugusa
5. Snow Boarding 3d
Snow Boarding ni game ambalo linaweza lisiwe pamoja na game lilizo katika orodha hii lakini kwakua linaendana kwa kiasi kikubwa na mageme ya Skateboard ndio maana lipo kwenye orodha hii. Game hii ni moja ya magame yanayochezwa zaidi na watu. Lina muonekano mzuri na ni zuri kwa ujumla.
Unaweza install game hili katika app ya Playstore au unaweza kurahisisha kwa kugusa