Watu wengi huwa wanapenda kucheza magame ya ndege kwenye simu zao kwakua huwafurahisha. Ni wazi kuwa magame ya ndege huwa ni mazuri na ya kuvutia ndio maana hufurahisha lakini si magame yote huwa ni mazuri, mengine hukera kutoka na sababu mbalimbali kama vile muonekano mbaya na sauti za ndege zisizo na uhalisia. Katika post hii nakupa game 2 za ndege ambazo ni nzuri,ndogo na watu wengi hupendelea kuzicheza katika simu zao za Android ulimwenguni.
Kabla ya kuendelea ningependa kukujuza kuwa magame haya mara nyingi huchezwa kwa kuyumbisha simu hivyo basi, ni vema ukawasha Auto rotate inayopatikana katika sehemu ya juu inayoshushwa wakati wa kuwasha data. Kama inavyooneswa katika picha hii.
Zifuatazo ni game 2 za ndege ambazo ziko vizuri na pia hupendwa na watu.
1. Wings Of Still
Wings Of Still ni game la mapigano ya ndege ambalo mpaka Sasa limechezwa na watu zaidi ya milioni 1 na wamelipenda. Game hili linamuonekano mzuri na mazingira yenye uhalisia. Linakupa nafasi ya kuchagua aina ya ndege uitakayo kutokana na Score ulizojizolea.
Kama utahitaji game hili utalipata kirahisi sana kupitia playstore na ni kwa MB73 tu. Unaweza rahisisha upatikanaji wa game hili kwa kugusa INSTALL
2. Modern Warplanes
Ni moja kati ya magame mzuri sana ya ndege yanayo pendwa zaidi na watu. Linahusisha mapigano ya ndege angani na linakupa uhuru wa kuchagua ndege ipi ya kivita unayohitaji kuwanayo kwenye vita hivyo. Watu hulisifu sana muonekano wake kwa ufupi modern warplanes ni game zuri sana.
Mbali na game hili kuwa na muonekano mzuri, pia hupatikana kirahisi sana kwa MB120 tu. Linapatikana playstore bure na unawezalipata kirahisi kwa kugusa INSTALL







