Kunamambo mengi madogo madogo ambayo ni vema ukayajua na yakakufungua katika shuguli zako za kila siku au yakakupa uelewa . Hapa Tumekuandalia mambo machache yatakayo kupa uelewa na kuufunga ubongo wako.
Si vizuri kunywa maji ukiwa umesimama; Unapokunywa maji ukiwa umekaa, unachochea ubongo kufanya kazi yake vizuri lakini unapokunywa maji ukiwa umekaa, unaweka hatarini mapafu yako pamoja na moyo pia.
Kuepuka kuumizwa na moshi wa vitunguu unapovikata; kata kitungu katika vipande viwili kisha iweke kwenye maji safi kwa dakika 10 hadi 15 kabla ya kuvikata.
Faida za kuimba; Kuimba kwa angalau dakika 10 kwa siku, kunaweza kupunguzia msongo wa mawazo na kukufanya uishi muda mrefu.
Mwanaume hapendi kulinganishwa; Wanaume wengi huchukia pale wanaweke wanapowalinganisha na wanaume wengine.
Gari za LAMBUGHINI; inasemekana magari ya LAMBUGHINI ambayo huuzwa bei ghali, huwa hayatangazwi mara kwa mara kwenye TV kwakua watu wengi wenye uwezo wa kuyanunua hawana muda wa kukaa na kuangalia TV kwa muda mrefu.
Kuhisi hatari; Akili zetu zimepewa uwezo wa kuhisi hatari au Jambo baya linaloelekea kutokea.
Msongo wa mawazo; Inasemekana msongo wa mawazo ambao huupata mtu baada ya kupoteza simu yake, unalingana sana na msongo wa mawazo unaosababishwa na mapenzi.