Jinsi ya kudownload movie zilizotafsiliwa kiswahili kwenye simu yako







Asilimia kubwa ya watanzania au watu wanaongea lugha ya kiswahili hupenda filamu zilizotafsiliwa kiswahili. Filamu zilizotafsiliwa kiswahili au 'movies za kutafsiriwa' ni filamu kutoka sehemu mbalimbali za dunia ambazo hua katika lugha isio ya kiswahili lakini huingizwa maneno ya kiswahili na watafsiri. Movies za kutafsiriwa zimekua zikipendwa sana na watu tangu zilipoanza kuzalishwa na moja ya sababu kubwa za kupendwa ni humfanya mtu aweze kuelewa Movies za kihindi, Movies za kichina, Movies za kikolea na nyingizo, kirahisi sana. 

Katika makala hii, nitaelekeza jinsi ya kupakua au kudownload 'movies za kutafsiriwa' kwenye simu (Android). Kama ni mmoja ya watu wanaopenda 'Movies za kutafsiriwa' basi hapa unakwenda kujua njia rahisi ya kuzidownload na kuziangalia kwenye kwenye kiganja chako.



Nifanye nini ili kudownload na kuangalia Movies za kutafsiriwa kwenye simu yangu?

Ili kudownload au kuangalia Movies za kutafsiriwa kwenye simu yako, fanya yafuatayo.

1. Kwanza kabisa unatakiwa pakua app iitwayo ""Movies za kutafsiriwa"" kwa kugusa HAPA.

2. Ukishaipakua app hiyo, utatakiwa kuifungua alafu ndani yake utakuta Movies nyingi sana zilizotafsiliwa kwa kiswahili na watafsiri mbalimbali. 

3. Chagua Movies au filamu unayotaka kudownload au kuingalia katika app hiyo kisha uanze uaingalia au kuidownload.


Je app ya "Movies za kutafsiriwa" humaliza bando?

Hapana, app huwa haimalizi bando la mtumiaji maana haina 'Auto play' au 'Auto download' kama app nyingine. Yaani kwa ufupi ni kwamba app haitumii bando sana.















Previous Post Next Post