Nchi inayoongoza kwa kufanya mapenzi





Nchi ya ugiriki imepakana na Albania, Masedonia Kaskazini, Bulgaria na Uturuki. Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu kwenye Bahari ya Mediteranea.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa duniani na kampuni ya mipira ya kondomu ya Durex, ambapo walishirikisha watu karibia 30,000 wenye miaka zaidi ya 16 katika mataifa 26, Wagiriki wanaongoza kwa kushiriki ngono. Kwa wastani, Wagiriki hufanya tendo la ndoa mara 164 kwa mwaka.

Ukizingatia hali ya hewa nchini Ugiriki, ambapo hakuna baridi sana au joto linalopita kiasi, na ukumbuke kwamba wana bustani na mizeituni, si ajabu. Filamu nyingi pia huonesha utamaduni wao kama watu wenye kupenda ngono sana.





Hata kwenye hadithi na ngano zao za miungu wa kale na binadamu wa kale. Huoneshwa kama watu wasiojali kushiriki ngono hadharani, na wenye kupenda kufanyia majaribio mambo mengi na njia nyingi za kukoleza mahaba wakati wa kushiriki tendo la ndoa.



Previous Post Next Post