kama unatumia line mbili kwenye simu yako na unahitaji namba ya kila line iwe na WhatsApp yake kwenye simu hiyo hiyo fanya yafuatayo
1. Install WhatsApp ya Kwanza Kama kawaida alafu jiunge kwa namba ya Kwanza Kama kawaida (Kama tayari unayo fanya kuianza hatua namba mbili moja kwa moja)
2. Ili kuiongeza WhatsApp ya pili, Install app inayoitwa "parallel space" inapatikana playstore.
unaweza gusa hapa kuinstall 👉https://play.google.com/store/apps/details…
(app kama izi zipo nyingine kwaiyo usifungwe)
unaweza gusa hapa kuinstall 👉https://play.google.com/store/apps/details…
(app kama izi zipo nyingine kwaiyo usifungwe)
3. Ukisha install fanya kufungua Alf utakuta sehemu ya kuchagua app hiyo iwe na app gani ndani yake, wewe utachagua Whatsapp... baada ya hapo Whatsapp itajicopy itakua ndani ya app hiyo na utajiunga kama ulivyojiunga WhatsApp ya kwanza ila kwa namba ya pili
4. Ukimaliza kufanya hayo utakua tayari unawhatsapp mbili kwenye simu yako. Kama utapenda unaweza pia kuiweka shortcut kwenye screen ila ni mpaka uwe na parallel space pro.