Magemu mazuri ya snowboarding ya kucheza kwenye simu (Android)

 




Umewahi cheza magame ya Snowboarding?

Kama haujawahi kucheza basi hii inaweza kuwa ni nafasi nzuri ya kuyafahamu magame haya mazuri ya Android na kama umewahicheza basi hakikisha hukosi kuyacheza magame haya ninayokuorodheshea hapa. Kitu cha msingi unachotakiwa kufahamu ni kwamba magame ya mtindo huu huwa ni mazuri sana na hufurahisha mchezaji pamoja na muangaliaji yaani hatakama kunamtu atakua akikuangalia ukicheza magame ya mtindo huu hujikuta tu kapenda pia.

Yafuatayo ni magame matatu (3) bomba ya Snowboarding;

1. Snowboarding Master 3D



Kama unahitaji game Safi, zuri,lililotulia na litakalo kufurahisha basi Jaribu kucheza game hili. Mpaka sasa limechezwa na mamilioni ya watu wenye simu za Android. Watu hulisifu kuwa linamuonekano mzuri japo ni game dogo. Kiufupi linahusu mashindano ya kuteleza toka juu ya mlima wenye barafu kwenda chini huku mukiruka Freestyle mbalimbali za kuvutia ili kuongeza kasi na scores. Unachotakiwa kufanya pindi unapocheza game hili ni kutereza kwa kasi ili kuwa wa kwanza, kuruka Freestyle njiani na kukusanya pesa lilizopo njiani. Kama si mzoefu wa magame ya mtindo huu basi ni vema ukaanza kulicheza hili ili kujiweka sawa kwa magame mengine.



Game hili hupatikana playstore tena kwa MB 21 tu. Unaweza rahisisha upatikanaji wa game hili kwa kugusa INSTALL


2. Snowboarding Party



Yapo magame mengine yanayofana na game hili na kunabaadhi huuzwa lakini hili ni la bure kabisa. Linamuonekano muzuri na pia lina level nyingi za kutosha zitakazokufanya ufurahie kulicheza game hili kila siku. Watu zaidi ya milioni kumi (10) wamelicheza game hili kwa kutumia simu zao za Android na asilimia kubwa ya watu hao wamelipenda kutokana na kuwa ni moja ya magame bomba ya snowboarding.



Game hili linapatikana playstore kwa MB 566 tu. Unaweza kulipata kwa kugusa hapa INSTALL


3. Snowboarding Fourth Phase



Ukiorodhesha magame ya Android mazuri basi usisahau kiliweka kwenye orodha kame hili. Linakupa nafasi ya kubadili vifaa kutokana na scores zako unazozipata wakati  unacheza game.




Game hili linapatikana playstore kwa MB 145 tu. Unaweza kulipata kwa kugusaINSTALL



Natumaini kwa magame haya utatambua kwanini watu wanapenda game za Snowboarding. 
Previous Post Next Post